Duration 12:51

TUNDU LISSU AMTAKA RAIS MAGUFULI KUWAELEZA WATANZANIA UKWELI KUHUSU CORONA NCHINI

60 460 watched
0
136
Published 23 Feb 2021

Aliyekuwa mgombea urais nchini Tanzania, kwa tikiti ya chama cha upinzani, Chadema, Tundu Lissu, amemkosoa rais wa nchi hiyo John Magufuli, kwa jinsi anavyolishughulikia suala la janga la Corona, na kusema kuwa, iwapo utawala wake hautabadilisha msimamo uliouchukuakua kuhusu maambukizi ya virusi hivyo, basi Watanzania wataendelea kupoteza maisha yao, jambo ambalo, amesema, ni la kutia wasiwasi mno. Lissu, ambaye yuko nchini Ubelgiji, alikuwa akizungumza na BMJ Muriithi ambaye hapa anaanza kwa kueleza mtazamo wake kuhusu hali ya Covid-19 nchini Tanzania.

Category

Show more

Comments - 232