Duration 5:42

Wakulima wa Korosho Lindi Walia na Michango ya ‘Wadau Wengine’

136 watched
0
4
Published 1 Dec 2021

Wakulima wa zao la korosho kutoka wilaya ya Liwale, mkoani Lindi wamelalamikiwa uwepo wa kitu kinachoitwa ‘wadau wengine’ kwenye orodha ya taasisi na mamlaka ambazo wakulima hao wanahitajika kuzichangia pale wanapoenda sokoni kuuza zao hilo la biashara. Kwa mujibu wa maelezo ya wakulima hawa, mchango huo unaokwenda kwa ‘wadau wengine’ ambao hawaja ainishwa ni akina nani haswa unagharimu kiasi cha Sh147.69 ambayo wameeleza hutozwa kutoka kwenye kila kilo moja inayouzwa. Wakulima hao wanasema kwamba huu ndiyo mchango unaochukua kiasi kikubwa zaidi kulinganisha na michango mingine wanayopaswa kutoa kutokana na mauzo yao ya korosho, huku wakiomba ufafanuzi wa fedha hizo zinaenda wapi haswa. #TheChanzo

Category

Show more

Comments - 1