Duration 3:34

RC Kunenge awasha moto wizi wa vifaa vya magari Dar

3 188 watched
0
14
Published 24 Apr 2021

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Abubakar Kunenge ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya mkoa huo amesema wamejipanga vizuri kushughulikia vitendo vya wizi wa vifaa vya magari mkoani kwake na kushughulika na wale wote wanaojihusisha na vitendo hivyo na kuhakikisha vinafika mwisho.

Category

Show more

Comments - 11