Duration 8:35

Watu Hawa Walibadili Muonekano Wa Sura Zao Na Hiki Ndicho KIlichowapata.

by YIB
528 494 watched
0
2.6 K
Published 18 Jan 2020

Thamani ya miili yetu Ni kubwa sana, lakini thamani ni namna kila mtu anavyo itatathmini, ndio maana kila mtu hufanya anachokiona kinamfaa katika mwili wake, wenye kujitoboa, wakujikoboa,wenye kubadili rangi, wenye kukuza vinavyokuzika, hadi roho siku hizi hubadilika kutoka kuwa na roho nzuri mpaka kuwa na roho mbaya, kiufupi hakuna kinachoshindikana katika mwili huu wa binadamu.! Ila yote yanaweza kuwa mabadiliko ya kawaida ambayo tunakutana nayo kila siku, lakini kuna mabadiliko mengine lazima yakuache kinywa wazi.. Ndio maana tumekuandalia watu hawa 6 waliofanya mabadiliko ya kushangaza katika miili yao.! Enjoy.! INSTAGRAM : https://www.instagram.com/yib_yt/ Twitter: https://twitter.com/Yib_Yt SUBSCRIBE HAPA: /channel/UC7zh-_031V1fMfq-itAzCHg Check out other videos on the Channel: Hata BAUNSA Wa Kiasi Gani, Kwa SHAOLIN MASTER Lazima Akae Chini.! Na Hii Ndiyo Sababu. /watch/cfH9Gw0s1fzs9 Sehemu Yennye Nguvu za AJABU, Hata Ufanyeje Hauwezi Kuanguka.! /watch/0BxSVen5gLK5S Makumbusho Yaiyojaa Miili Ya Binadamu Isiyooza.! /watch/oar_yI9a2Ssa_ Viumbe Wenye Uwezo Wa Kuishi Baada Ya Kufa.! /watch/Uba3csqNz0HN3 Kisa Cha Medusa.! Dada Aliekatwa Kichwa Kwa Kosa La Kubakwa.! /watch/QabeIvrai23ae Ugonjwa Wa Ajabu Uliofanya Watu Kuanguka Barabarani Na Kuchapa Usingizi.! /watch/8lJPWWm02MG0P Watu 6 Wenye Sifa Za Kipekee Duniani ! /watch/oMmH8NbGPf7GH Ukikutwa Maeneo Haya, Kifo Kinakuhusu.! /watch/s61=t&MInwxK89n6N9= Inasikitisha, Afariki Siku Moja Kabla Ya Harusi Yake.! /watch/A2vDlkr5l8u5D Area 51 Sehemu Inayolindwa Kwa Siri Nzito Kuhusu Aliens.! /watch/YtU_-wMQGCrQ_ BERMUDA Triangle, Kisiwa Chaajabu Kinachomeza Watu.! /watch/0aLTnb0Z5ENZT Machozi Yatakutoka Ukisikiiza Stori Za Kusikitisha Katika Video Hii.! /watch/8gg-WZ0gUtrg- Hivi Ndivyo ugonjwa Wa Ukimwi Ulivyoenea Duniani.! /watch/8p3TqZ-6Arm6T Ukikutana Na Viumbe Hawa Kimbia Haraka Uokoe Maisha Yako! /watch/0h4o9X4dzz4do Tukio Lililofanya Watu wengi Wapoteze Maisha.! /watch/gMTfGTcjWTEjf Maajabu Ya Msitu Wa Amazon Na Yaliyomo Ndani Yake ! /watch/No-MbpMI99MM BG Music: Music from https://filmmusic.io "Gregorian Chant" by Kevin MacLeod (https://incompetech.com ) License: CC BY (http://creativecommons.org/licenses/by/4.0/) Narrated by: Camarah Written by: Dijjah Edited & Produced by: Dsilly #YIB #YourInformationBook #MatukioYaKusisimua

Category

Show more

Comments - 307
  • @
    @maisywangeshi62304 years ago Wow i love ethan kwa hooked on the look i think it' s cool venye ali split tongue. 2
  • @
    @mariamsamuson83234 years ago Hii ni laana, allah tunusuru waja wako. 10
  • @
    @kalssambaboo97054 years ago Mmh kweli binadam hatuna shukran kwa allah jee allah angetuumba hivo situngelaum. 3
  • @
    @husnahassan47714 years ago Mbn walikuwa wazur tuu yarabbi, allah tunusuru. 7
  • @
    @umikulthumhamisi83114 years ago Ewe mola tunusuru sisi wazazi pamoja na vizazi vyetu. Amina utuepushe na baya yakilimwengu. 12
  • @
    @beatricekilonzi83784 years ago Mungu hapedi kabisa. Kwani akiumba mtu jinsi alivyo alikuwa mjinga? 9
  • @
    @mgenigambo25624 years ago Dalili ya mwisho ya dunia mungu tunusuru.
  • @
    @bukuruguilainelwashiga93664 years ago Eh mungu wangu, wanadamu awajuwe wakitakacho. 1
  • @
    @joymsupagladysijeya83844 years ago Ngai mungu wangu nisamehe nini hii ishidwe, 1
  • @
    @sqxirrel_iv6844 years ago Hao ndo watu shetani aliwasajili kabisa innalillah rajium. 15
  • @
    @dafrozaabdallahman48094 years ago Wanajiona wamependeza ila wametisha mungu hachezewi kihivyo. 2
  • @
    @africa74794 years ago Akili ikizidi kichwa nayo ni balaa pia. 1
  • @
    @jonesnyakundi71224 years ago Maajabu duniani watu kumkosoa mungu na kuanza kujibamba.
  • @
    @qaltumsaid30954 years ago Kweli hao wamevunja rikodi. Inna lillah wainna lillah raji' un. 66
  • @
    @hamongukecha89444 years ago Wabongo mmeona hyoo? Wazee wa kuiga igeni na hvyo! 10
  • @
    @mabeekeniya97104 years ago Ewe mungu wetu tusamehe kwa matendo tunayo tunayoyatenda.
  • @
    @mwanahamisjuma6894 years ago Washajipa mihuri had i kesho kwa mungu inalilahi. 1
  • @
    @paulinasemindu12924 years ago Dunia, simama nishuke sio kwa uchz huu jmn. 2
  • @
    @gloryren71624 years ago Huyo aloweka visu puan cjui ana pua kubwa kiasi gan aahahha dunia hii uwii.
  • @
    @khamishamad57584 years ago Subhana allah kuna watu ata sijui wana akili gan.
  • @
    @rukiaiddyyahaya95064 years ago Nimecheka eti watu wengine hubalika kutoka katika roho nzur had roho mbaya. 1
  • @
    @lightnesseramson76544 years ago Jamani hawa kuna roho inayowaongoza sio bure. 9
  • @
    @mwatimaabdallahaji24524 years ago Allahkuwa amemuumba mwanadamu ktk umbile lililobora kabisa. Yn kama hiz tundu za mackio ningekuwa ckutobolewa udogoni bas mwili wang ucngekuwa na tundu nyengine baada zile za lazima.
  • @
    @allykutenga28624 years ago Almarhum bi kidude alisema shibe ikizd sana basi wa2 huzuwa mabalaa. 12
  • @
    @barakajacobs45394 years ago Whathii dunia kweli kumbezamanii tuugod forbid! This is demonic! 3
  • @
    @fatmapanaguiton97834 years ago Hatakama ungelikuwa utajiri mimi siwezi. 4
  • @
    @lovevivy74594 years ago Mpaka roho zinabadilika kutoka kua nzuri hadi mbaya, kaka anaua kwa kicheko h intro kali.
  • @
    @josephndunda63902 years ago It' s true that human beings are mad.
  • @
    @allisonmadii76204 years ago Kiukwel naangalia huku ninahofu. Afu nimemaindi kinoma yaani mwili jinsi wanavoiaribu sijapenda kabisa yaani maamake zao. 2
  • @
    @fadhilikawambwa15863 years ago Watu wa kuzima hujulikana hapahpa dunia.
  • @
    @shemmastershaaban774 years ago Ukiwa hujielewi utafanya kila kitu. Laanasumaka.
  • @
    @sarakondo38443 years ago Oh mapembe tna bas at onesh vy sehem za siri.
  • @
    @ammyphilimon69714 years ago Wakija tz tunakimbia tukihofia mtoa roho za watu.
  • @
    @divinebernard26244 years ago Akili ya mtu njo wazimu wake, sijuwi wenzetu wazungu wanashida gani.
  • @
    @magynzioka11224 years ago Shetani atawakana kabisa mahama mungu aliwapa hakili zaidi yakujua mema na mabaya lakini mwanadam nani hata shetani ukaha pembeni na kushanga mnatenda thambi zaidi yake. 1
  • @
    @abdiraufmustafa63644 years ago Watu wamekuwa na ilmu ya kupoteza sheitani. Yaa mawlaana.
  • @
    @daughterofzion.96244 years ago Huu ni urembo ni ushetani ama ni mchanganyiko wa maroho machafu imezidi hii. 10
  • @
    @mustaphagairo19364 years ago Alafu bado unakaa unaxema hujawahi kumwona xhetani live.
  • @
    @jerrysonshayo15574 years ago Mwingine kaweka hadi pembe. Alitamani kuwa ng' ombe naona. 12
  • @
    @dalyadull7064 years ago Nimeangalia had nahisi kichefu chefu wanavyotisha. 25
  • @
    @gmukavana4 years ago Siku ya mwisho mtajibu hayo yote mliyoyafanya.
  • @
    @bintimohammed32334 years ago Mashetani ndio yako hivi sasa innalillah waina ilehi rajiun. 2
  • @
    @michaelmichael38834 years ago Waende kwa babu yao akawajaze tena ujinga wamehalibu shoo tenahivi vitu wasingeonyesha hakuna anae pendezewa na sura hizi.
  • @
    @damarisndanu66554 years ago Jameni wanadamu wana mambo. Mungu katuumba kwa mfano wake mbona tuharibu kazi yake ya uumbaji? Siku ya kiama mtamwambia mungu aje?
  • @
    @asayubeejr11994 years ago Hhhh dah nyege mbaya jamani mungu wangu alie nichekeshe yule alie jitoboa visigino eti yuko mbioni kujitoboa mpkaa magotinii haya kweli akili hizo jamani. 6
  • @
    @rehemacharles61284 years ago Kwakweli inachekesha mpa mtangazaji mwenyewe anachekesha.
  • @
    @user-il1bv6vs9q4 years ago Satanic act an satanic bondage
    satanic connection
    i command devil loose the grip in jesus mighty name amen
    i send holy ghost fire to release u an set u free in jesus mighty name amen.
    11
  • @
    @hawoille47484 years ago This ones are simply competing with god, allahu akbar, they are telling god, *you didnt create us how we r supposed to be, so let' s do it for.
  • @
    @nancyclerah94574 years ago Hawa watu wafaa wapelekwe kwa phsychatricwazima kabisa. Mungu alituumba kwa mfano yake tunaweza mshinda maarifa tukaanza kujiharibu kwa vipini mara kutoboa mguu. Alafi hiyo background sound inafanya nakuwa muoga. Wah. ...Expand 7
  • @
    @peterpetero88524 years ago The bible says our bodies are the temple of god mbona mnatoa mungu makosa na vile alikuumba my brother my sister there is god oooh judgement day is coming.
  • @
    @officialsalmazayn97204 years ago Mungu baba dunia inakwenda kasi aki daah hadi nahisi joto. 6
  • @
    @mwajumamohamedi35344 years ago Nilikuwa nakutafuta nashukuru nime kupata leo mana nime baadili cm napenda kusikukiza simulizu zako japokuwa zina tisha.
  • @
    @straightkonect16134 years ago Nimegundua binadamu ndio wanaforce collabo na shetani.
  • @
    @nassorhamad52254 years ago Nawabafilishe roho waweke roho isio kufaa ndo itakua wemetengeza vinginevyo itakua. 3
  • @
    @gladystinga15624 years ago Shetani b muongoo sana yesu kristo alimfunza adabu. 3
  • @
    @aishamuhammad77854 years ago Yaani huu ni ujinga allaah atuongoze ktk twaa yake.
  • @
    @rayyanabdul52334 years ago Meme nimebaki nimeduwaa ht sielewi yaani. 5
  • @
    @nasranassor23334 years ago Mafiraauni wanajiadhibu kabla hawajakufa.
  • @
    @jojojojo-my7vw4 years ago Yaan hawa ni wapumbavu kwa kiwango cha lami. 18