Yaliomo ndani:
Ni jambo zuri sana kujifnza kuhusu mambo yanayotuzunguka, utamu mara nyingi unakuja pale utakapo jifunza kitu ambacho haujawahi kukiona, tuamini sisi tunafahamu ladha yake, ikitokea umepelekwa Victoria falls iliyopo huko zimbabwe na ukashuhudia maajabu ya ulimwengu wetu, hata ukihadithia vip hakuna namna utaweza kulinganisha na vile ulivyoweza kushuhudia kwa macho yako mawili, kwani ukubwa wake hakuna mfano mwingine unaoweza kutumia ili ufananishe na sehemu hiyo, hizi hapa sehemu ambazo haujawai kuzifikilia kwamba zipo, lakini zipo na zinakusubiri wewe uweze kuzifahamu kupitia sisi, YIB,
Enjoy.!
YIB 2 :/channel/UC5tpm_O5aUJmlntgIChBd6A
INSTAGRAM : https://www.instagram.com/yib_yt/
SUBSCRIBE HAPA: https://bit.ly/2GMBiSB
Check out other videos on the Channel:
Watu 6 Wenye Sifa Za Kipekee Duniani !
/watch/oMmH8NbGPf7GH
Ukikutwa Maeneo Haya, Kifo Kinakuhusu.!
/watch/s61=t&MInwxK89n6N9=
Inasikitisha, Afariki Siku Moja Kabla Ya Harusi Yake.!
/watch/A2vDlkr5l8u5D
Area 51 Sehemu Inayolindwa Kwa Siri Nzito Kuhusu Aliens.!
/watch/YtU_-wMQGCrQ_
BERMUDA Triangle, Kisiwa Chaajabu Kinachomeza Watu.!
/watch/0aLTnb0Z5ENZT
Hivi Ndivyo ugonjwa Wa Ukimwi Ulivyoenea Duniani.!
/watch/8p3TqZ-6Arm6T
Ukikutana Na Viumbe Hawa Kimbia Haraka Uokoe Maisha Yako!
/watch/0h4o9X4dzz4do
Tukio Lililofanya Watu wengi Wapoteze Maisha.!
/watch/gMTfGTcjWTEjf
Maajabu Ya Msitu Wa Amazon Na Yaliyomo Ndani Yake !
/watch/kNo-MbpMI99M-
Music:
Leaving Home Kevin MacLeod (incompetech.com)
Licensed under Creative Commons: By Attribution 3.0 License
http://creativecommons.org/licenses/by/3.0/
Narrated by: Camarah
Written by: Dijjah
Edited & Produced by: Dsilly
#YIB
#YourInformationBook