Duration 5:19

WEWE NI MUNGU WA WOTE - Kwaya ya Bikira Maria Mpalizwa Mbinguni (BMM Ujewa)_Official Video_cfp

41 797 watched
0
147
Published 22 Mar 2021

MUNGU WETU NI MUNGU WA HURUMA, NI MUNGU WA WOTE. TUKUMBUKE KUMKIMBILIA YEYE WAKATI WOTE. Karibu uutazame wimbo huu mzuri ulioandaliwa na Wanakwaya wa BMM Ujewa. Wimbo huu ni miongoni mwa nyimbo za Albamu yetu mpya itakayokujia hivi Karibuni. Kaa Tayari. Wimbo: Wewe ni Mungu wa wote. Mtunzi: Paul M. Biseko. Kwaya: Bikira Maria Mpalizwa Mbinguni (BMM) Ujewa. Mpiga Kinanda: Nicas P. Chuma Audio & Video: CF Production Mbeya. Sound Engineer: Frances R. Choga. Mawasiliano ya studio: 0752535908, 0753273092, cfpdoductionav@gmail.com. Mawasiliano ya Kwaya: 0625212201

Category

Show more

Comments - 52