Duration 1:42

Timu za voliboli ya ufuoni zaandaliwa dhifa ya chakula cha mchana baada ya kurejea kutoka Morocco

37 watched
0
0
Published 3 Jul 2021

Timu za taifa za voliboli ya ufuoni leo ziliandaliwa dhifa ya chakula cha mchana jijini Nairobi siku mbili baada ya kurejea humu nchini kutoka kutoka Morocco. Timu ya taifa ya akinadada ilifuzu kwa michezo ya olimpiki baada ya kuibuka mabingwa kwenye mashindano ya Bara Afrika ya kufuzu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://bit.ly/2Q3HICf Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCsports #KenyaSports #Football

Category

Show more

Comments - 0