Duration 14:2

WAHITIMU WA JKT KAMBI YA RUVU WATAKIWA KWENDA KUPAMBANA NA UMASKINI

20 156 watched
0
67
Published 16 Sep 2021

Ben Komba/Pwani-Tanzania/Wednesday, September 15, 2021 Vijana 3994 wamehitimu mafunzo ya Jeshi la kujenga Taifa kwa mujibu wa sharia mwaka 2021 katika kambi ya JKT Ruvu, Mlandizi Mkoa wa Pwani, katika operesheni Mama Samia. Akizunngumza katika mahafali hayo, Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, BI.SARAH MSAFIRI amewahimiza wahitimu hao kwenda kutumia mafunzo hayo katika kupambana na umaskini. Ameongeza kuwa vijana hao watakuwa wamejifunza mambo mengi ikwemo nidhamui, utii, uzalendo, ukakamavu, ujasiriamali, stadi za mais a na uhodari katika kazi, vitu ambavyo vitawasaidia kufikia malengo yao. Mkuu wa Jeshi la kujenga Taifa Meja Jenerali, RAJAB NDUKU MABELE amewataka vijana hao kwenda kulitumikia taifa kama walivyoapa katika viapo vyao, na kuzingatia kuwa Jeshi letu halina misngi ya Kikabila au udini. END

Category

Show more

Comments - 10