Duration 1:20

Alichokisema bilionea Laizer baada ya kukabidhiwa shilingi bilioni 4

2 735 watched
0
29
Published 3 Aug 2020

Serikali kupitia Wizara ya Fedha imelinunua jiwe jingine la Tanzanite lenye uzito wa kilogramu 6.33 kutoka kwa mchimbaji mdogo wa madini hayo Saniniu Laizer, kwa thamani ya shilingi bilioni 4.86. Laizer amefanikiwa kupata jiwe hilo ikiwa ni takribani mwezi mmoja na siku kadhaa tangu mchimbaji huyo alipovunja rekodi kwa kupata mawe mawili, moja likiwa na Kilogramu Tisa na Jingine kilogramu Tano ndani ya migodi ya Tanzanite Mirerani. #SaninuuLaiser #MadiniYaTanzanite #TanzaniteMirerani Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 4