Duration 10:10

Dr. Chris Mauki: Maswali matano ya kujiuliza kabla ya kuamua kuachana

60 409 watched
0
1.2 K
Published 27 Nov 2021

Wapenzi wengi sana wame wahi kuamua kuachana lakini baadaye wakajikuta badala ya kutatua tatizo wameongeza shida, kwa sababu tu hawakupata muda wa kujiuliza mambo ya msingi sana kabla ya kuachana kwao. Je unajua ni mambo gani hayo? Nifuatilie. #DrChrisMauki#KablaYa#Kuachana

Category

Show more

Comments - 185
  • @
    @sophiajackson50013 years ago Atukuzwe Mungu kwaajili ya Dr. mauki.... Kusudi la Mungu lizidi kuimarika katika maisha yako... Mungu akutunze sana na uzao wako kaka Chris Mauki 11
  • @
    @NellypearsonMadeje3 weeks ago Mungu akutunze sana D Chris mungu akupe maisha marefu sana 🙏❤️❤️❤️
  • @
    @user-zh2lj7vr3h5 months ago Mungu akubariki sana Dr pia god bless akupe maisha marefu kwasababu unafanya vizuri sana kuelimisha sisi tusojua🙏🙏 1
  • @
    @samkaskakongesaja-boy78372 years ago Très sage mon frère que Dieu vous bénisse abondamment.🙏🇨🇩 3
  • @
    @user-ku8lh7wl8v2 months ago tangu nilipoanza kufatilia huyu Leo tu nime enjoy San hii channel alafu nimeumia San niliachanaka nampenzi bila sababu ila leo hii najuta had sina ata hamu yakuingia ku mausiano 😭🙏Asante San kwa Ushauri Dr muki 🙏🙏
  • @
    @winfridamwigilwa21073 years ago Hili somo linagusa mnooo. Aksante sana Dr.
  • @
    @albertraphael51722 years ago Dr nashukuru kwa ushauli wko mungu akubariki sana
  • @
    @neemashirima61212 years ago Yaaani nilikuwa kwenye process lakini kupitia SoMo nimejifunza na sitaondoka tena Asante baba 1
  • @
    @user-ej2zj9re1m3 months ago for real kuna namna napata ujasiri ss wa kuamua baada ya kusikiliza hii content, thank u
  • @
    @gracemutayoba49582 years ago Thanks brother for a good lesson, imenipa nguvu sana 3
  • @
    @dorissmrosso74202 years ago Asante baba mungu akubariki ,ninamaumivu ya kutosha ila kwa SoMo lako nipata nimepata majibu . 1
  • @
    @officialvinjunga56822 years ago Dr.mauki masomo yako ninayaelewa na kuyapenda Kwan bado ni kujana mdogo na mwenye safar ndefu katika maisha niliyonayo sas samahan naomba urafiki na ukaribu wak hata wa kimawasiliano yako ili kupata mtindo mzur wa kimaisha katik safar yang kipnd cha uhai wang
    Naomba hvy kam hutojal pia naamin ww n mtu muhm na rafik bora ktk maisha ya vijana weng
    🙏🙏🙏🙏😔
    ...
  • @
    @user-lu5if4gt2m10 months ago Hakika Dr ninakushukur sana topics zako ni nzuri sana, hongera sana!!!!
  • @
    @gladnessrwegalurila384311 months ago Asante kwa funzo zuri. Nimekuelewa sana
  • @
    @mariamandrea-ht4wnlast year Asante sana kaka nimejifunza kitu hapa.
  • @
    @justblackcode2 years ago Thanks... always building me both emotionally and mentally, God bless you Dr. 5
  • @
    @zawadipeter71522 years ago Nilitaka kuzama asante MUNGU akubariki umeniokoa mapema doctor
  • @
    @MaryDaniel-dj1hv7 months ago Dr its my first time to learn with you I real enjoy your lesson and I am about to stand and fight for my family be blessed 1
  • @
    @sekelakasole49232 years ago Najifunza mengi sana kupitia ww mengi mno uishi sana Kaka barikiwa
  • @
    @asanathharuna68192 years ago Thank you doctor,,,be blessed tunaokota chochote mola akubleee🤲🤲🤣🤣🤣🤣 1
  • @
    @FatumaKaposolast year Shukrani Dr alitaka nimuache mtu lkn kuishi bila yeye sitoweza nimeshapata jibu
  • @
    @anithamsoke23293 years ago Asante an Dr. kukuona inagharimu bei gani kwa ushauri wa kisaikologia? 1
  • @
    @scholasticamathias92243 years ago Perfect blessed in abundance uishi saana jmn duh🙏 7
  • @
    @rehemabakari87012 years ago ubarikiwe dk maana nimeachana naye nizaidi yamwaka na miezi ila bado yuko moyoni ninaish na kovu naona haya hata kuongea naye maana mm ndonilomwambiya tuachane 😢😢😢😢 2
  • @
    @ladyjox9202 years ago Thank you Dr. Chris, kweli umesave mahusiano yangu. Leo nilishapanga mizigo yangu iliniachane na mwenzangu lakini somo lako hili limenifanya nibadili maamuzi 2
  • @
    @wenceslausmassawe68483 years ago Umenisusa sana dr mm hii hali inantokea mnoo
  • @
    @rosejordan53912 years ago Kazi nzuri Dr,mungu akubariki sana uzidi kutuletea masomo mazuri 1
  • @
    @muslimakassim43203 years ago Masha allah shukran may allah bless u more dr u doing great job 😍💯👏👍🙏 8
  • @
    @salimzumamangale98433 years ago Kweli kabisa Dr shukran sana kwa somo lako zuri
  • @
    @tabiamahekelast year Dr mm kila ninachohisi kupoteza bado haoni! Ndo anachukua udhaifu wangu wa hofu ya kupoteza kama fimbo ya kunipigia! 1
  • @
    @NeemaStephanomjengi-xq4dglast year Nimebarikiea Saudi na kipengele cha kujirekebisha,maana naamini mi pia sio Malika Nina mapungufu yangu ,barikiea zaidi Dr
  • @
    @fatumafatuma14593 years ago Nakupana asilimia 100unachoongea sahihi mimi Mzazi mwenzangu aliniacha km mbwa nikiwa ninamimba na mtto wa miezi baada ya miaka anataka turudiane hicho kitu mwangu hakiwezekan tna 1
  • @
    @vailetheanyambilile97493 years ago Asante sana kwa maswali haya God bless you
  • @
    @FaridaAlly-yi3bc11 hours ago Tuna kushkur unatusaidia tujue tuko wp dr
  • @
    @hawasaid71513 years ago Mbona km umenisema mm Doctor🥲🥲mana ndo nilikuw nawaza kuachana na mpnz wng mana simuelew hata 3
  • @
    @aishaally58335 months ago Unaweza kuishi bila yeye
    Je nitapoteza nini endapo ntaachana nae
    Je,Ninaweza kumpata aliebora zaid
    Je kuna chochote chamimi kujirekebisha
  • @
    @briannyerere55198 months ago Brother nimepona ktk hili mungu akulinde sanaaaah
  • @
    @YunisMinassshayo-pi5pq9 months ago Kweli kabisa Hana umuhimu wowote kwangu
  • @
    @harithwhite5892 weeks ago Nalipata somo hili ikiwa kwangu ishakuwa "too late" masikini mimi
  • @
    @user-oh7mf7mm2d9 months ago Hii topic kama umeniandalia mm ubatikiwe sana
  • @
    @marianapatrick59933 years ago Dr Nina mme wangu A nafanya kazi oman, toka ameondoka mawasiliano yanakuaga ya shida Sana kila nikimpigia anasema subir kidogo naumia Sana aliipata likizo a kaja Tanzania, amebadilika Sana hata tendo la ndoa hafanyi kama zaman,, Hana hamu na mimi kabisa, Dr ni fanyeje, tumezaa watoto wawili ... 2
  • @
    @user-ig5gc7my5h7 months ago Somo nzuri dk but naomba kuuliza swali private
  • @
    @ruwaidashaaban72672 years ago I wish ungekuwa live ningekuuliza maswali 2
  • @
    @mariumpeter61473 years ago Asante kwa somo taaamuu@ Prof.CMauki.Mungu akubariki sana 1
  • @
    @janenkhwazi24573 years ago Nikweli Dr Chris Mauki....somo nzuri....kwakweli inachukuwaga mda sana kuwamuwa kuwachana namtu ambaye unampenda....mawazo yakuwachana na mpenzi wangu yalikuwepo before I gave birth to 2 kids with him.....nilivyo zaa mwanangu wapiri ndipo mawazo yalitimiya ...
  • @
    @JohnDaudi-rm3in4 days ago Dr mimi nipo kwenye mahusiano kila ninavo taka tukae pamoja hataki nifanyaje
  • @
    @user-uw3jx6fn2m4 months ago Miminataka kumuacha nifuate maisha yangu nitafte pesatu 👬👭💏💑
  • @
    @christinachazy8644last year Umenigusa San Dr Yani nipo kwenye mahusiano ambayo nataka kutoka make naona napoteza Muda lakini je ukitoka utakae mpata atakuwa Bora kweli
  • @
    @zaitunjuma870last year jaman mm mume wangu ni malay sn nina wtt wawili ila ninacho kifikiria nitapoteza haki za watt wangu nimevumilia tumejenga nawaz vingi nitapotez so mm ila wanangu mtihan sn