Duration 4:52

KAULI YA KWANZA YA MO DEWJI NA MANARA BAADA YAKUKABIDHIWA KOMBE LA UBINGWA Bado 7 zingine

34 954 watched
0
95
Published 8 Jul 2020

KAULI YA KWANZA YA MO DEWJI NA MANARA BAADA YAKUKABIDHIWA KOMBE LA UBINGWA MARA TATU MFULULIZO"Bado 7 Zingine"tukutane jumapili

Category

Show more

Comments - 21
  • @
    @kazimilbukelebe1534 years ago Hongera sana timu yangu kwa ubingwa hongera sana wachezaji wote pia benchi la ufundi kwa ujumla. 3
  • @
    @eliasnyondo21674 years ago Hongera kwa ubingwa timu yetu smb sc hongera wachezaj, bench la ufund pamoja na mashabiki wote wa smb sc. 5
  • @
    @lawrencephotographyandsafa59554 years ago Tshishimbi hao wanaosambaza habari hivi simba kweli inaweza poteza pesa tote hiyo wakati simba umekaa wa haji zaidi yake msipotezee pesa hana ubora wowote kuwazidi hao tulionao. 4
  • @
    @jacktonwerema53814 years ago Mnipe raha zaidi na kuikamilisha sherehe hii ya ubingwa kwa kuwafunga yanga goli 2-0 ili tukamilishe ahadi yetu ya double.
  • @
    @habibrwegoshora66244 years ago Kombe la dhuruma kubwa. Kombe kachukua tff sio simba.