Duration 8:59

MREJESHO WA FAIDA NA MATUMIZI YAKE KATIKA KUTAMBUA HISA ZINAZOFANYA VIZURI KATIKA SOKO LA HISA

207 watched
0
7
Published 3 Mar 2021

Viungo katika mitandao yetu ya jamii; https://www.instagram.com/matrich_investing/?hl=en https://www.facebook.com/Matrich-Investing-104068614639938/ https://twitter.com/MatrichInvesti1?s=09 KILA KITU KUHUSU MREJESHO WA MTAJI Hiki ni kipimo cha utendaji wa kifedha ambacho kinapatikana kwa kugawanya faida kuu ya mwaka kwa mtaji wa wanahisa. Mrejesho wa mtaji unahesabika kama kipimo cha faida ya kampuni kwa mujibu wa mtaji wa wanahisa uliowekezwa Mahesabu haya yanatumika na wawekezaji katika kufahamu ni jinsi gani uongozi wa biashara hiyo inaweza kufanya kazi katika kutenga mtaji wao ili watengeneze faida zaidi. Mrejesho mkubwa wa mtaji unamaanisha ya kwamba kampuni inafanya matumizi mema ya faida ambazo zimewekezwa katika biashara Jinsi ya kubainisha mrejesho mzuri wa mtaji kwa ule usio mzuri 0% - 9%: Kampuni hiyo inamrejesho mbaya na haifanyi vizuri kifedha 10% - 19%: Kampuni hiyo inamrejesho wastani na inayofanya vizuri kifedha 20% na kuendelea: Kampuni hiyo inamrejesho uliobora na inayofanya vizuri zaidi kifedha 𝑴𝒓𝒆𝒋𝒆𝒔𝒉𝒐 𝒘𝒂 𝑴𝒕𝒂𝒋𝒊=(𝑭𝒂𝒊𝒅𝒂 𝒌𝒖𝒖 𝒚𝒂 𝒎𝒘𝒂𝒌𝒂)/(𝑴𝒕𝒂𝒋𝒊 𝒘𝒂 𝑾𝒂𝒏𝒂𝒉𝒊𝒔𝒂) 𝒙 𝟏𝟎𝟎%

Category

Show more

Comments - 0