Duration 3:35

Ukisikia Utakatishaji Fedha na Uhujumu Uchumi, hii ndio maana yake

11 121 watched
0
28
Published 4 Jul 2017

Tumekuwa tukisikia watu wanafungwa kwa kutakatisha fedha, wengine kuhujumu uchumi, sasa leo tumempata mtaalamu kutoka Bank Kuu ya Tanzania, Meneja Msaidizi Idara ya Uendeshaji kesi na uchunguzi Ganga Mlipano kwenye huu ufafanuzi.

Category

Show more

Comments - 6