Duration 5900

MBVT AWARDS 2021

55 watched
0
3
Published 1 Sep 2021

Gemix Company Limited ikishirikiana na Baraza la sanaa la Taifa (BASATA). Wanakuletea tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Tanzania (MBVT AWARDS 2021). itakayotambulishwa rasmi tarehe 1 septemba 2021, na waandishi wa vitabu wenye uraia wa Tanzania, kuanza kujisajili kwenye tovuti rasmi ya mbvtawards.co.tz. . VIPENGELE: ➡️ Vitabu vya Biashara na uwekezaji ➡️ Sayansi ➡️ Arts ➡️ Mahusiano na Ndoa ➡️ Vitabu vya Riwaya ➡️ Hadithi Fupi ➡️ Vitabu vya watoto ➡️ Vitabu vya Dini 🛑 Pia kutakuwa na Tuzo za kipekee kwa vingengele vya ➡️ Mwandishi Bora wa Vitabu wa kiume Tanzania. ➡️ Mwandishi Bora wa Vitabu wa Kike Tanzania. ➡️ Duka la vitabu Bora Tanzania. ➡️ pamoja na Biography Bora Tanzania. . kwa mawasiliano zaidi tupigie kwa namba 0656-058-184. ❇️ MBVT AWARDS 2021 SOMA VITABU UJIONGEZEE MAARIFA, TAARIFA NA KIPATO CHAKO #Tuzo #Mwandishi #Bora

Category

Show more

Comments - 0