Duration 32:55

Dira ya Maalim Seif kwa watumishi wa umma Zanzibar

12 653 watched
0
96
Published 4 Oct 2020

Mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, amesema kuwa akichaguliwa atahakikisha kuwa kima cha chini cha mshahara kwa wafanyakazi wa sekta ya umma hakitashuka shilingi 500,000 na ndani ya miaka yake mitano atahakikisha kimevuuka 700,000.

Category

Show more

Comments - 63