Duration 11:38

Jinsi ya kupata followers wengi Instagram kwa Njia ya follow for follow 2022.follow4follow

961 watched
0
29
Published 6 Aug 2021

Kwenye hii video leo tunakwenda kuzifahamu mbinu ambazo nimezitumia kuweza kukuza Instagram account yangu from zero instagram followers mbaka Sasa hivi ina followers 1k yaani elfu 1 (1000) in less than a month. Chini ya mwezi mmoja week tatu TU ndiyo nilizo tumia kukuza hiyo Account yangu ya YouTube it's pretty easy. Cha msingi tazama video hii upate ujuzi wa namna ya kukuza Instagram account yako Sasa kwa kutumia njia ya follow for follow au wengine wanaiita follow unfollow tricks Au method, vyovyote vile utakavyo iita but tambua kuwa ni moja ya njia nzuri sana 🔥🔥🔥 kwa kukuza Instagram account yako Sasa 2021. #growyourinstagram #instagramfollowforfollow #followforfollowgainingtrickoninstagram2021 #followforfollowoninstagram #instagramstrategies2021 #growyourbrandwithyourinstagramaccountnow #instagramtanzania #instagramafrica #instagrampromotion #instagramfollowers Msisahau kunifollow Jamani on Instagram Link hizo hapo My instagram official Account @kigodathecreator 👇👇👇 https://instagram.com/kigodathecreator?utm_medium=copy_link My instagram other accounts @fashion1_tz 👇👇👇 https://instagram.com/fashion1_tz?utm_medium=copy_link @kigsmedia👇👇👇 https://instagram.com/kigsmedia?utm_medium=copy_link Thank 🙏 you so much kama utakuwa umetazama video hii mwanzo mbaka mwisho. Subscribe kwa ajili ya videos zijazo kuhusu Instagram na masuala mazima ya kuhusu Technology niche. #instagrammarketing

Category

Show more

Comments - 11