Duration 6:31

JOKA CHATU NA BARNABA NA LINNAH WAACHA HISTORIA MOSHI, JATU PLC USO KWA USO NA MKUU WA WILAYA

394 watched
0
3
Published 14 Sep 2021

Wasanii wa Kizazi Kipya Nchini, Barnaba Classic na Linnah Sanga wakiwa na Nyoka Mkubwa Aina ya Chatu Wameacha Historia katika Uzinduzi wa Maonyesho ya Wiki ya Mavuno (Anza na Ekari Moja) Mkoani Moshi. Maonyesho hayo ambayo yatafikia kilele chake tarehe 19 Mwezi huu wa Kumi, Yamezinduliwa Rasmi na Mkuu wa Wilaya ya Msohi. Mh. Said Mohamed Mtanda.

Category

Show more

Comments - 0