Duration 12:57

Bagia/ Bhajiya rahisi za kunde

92 672 watched
0
789
Published 5 Mar 2021

MAHITAJI Vikombe 2 kunde Vitunguu maji 3 vya wastani Vijiko 2 vya chakula maji ya limao (ukipenda) Kijiko 1 cha chai baking powder Kijiko 1 cha chakula tangawizi 1/2 kikombe majani ya giligilani Chumvi kwa kuonja Mafuta ya kukaangia

Category

Show more

Comments - 64