Duration 5:14

SERIKALI IFUNGUE CHUO CHA WIZI I MBUNGE PROFESA KISHIMBA ASHAURI

3 223 watched
0
21
Published 28 May 2020

"Vijana wanaoajiriwa wanatoka shuleni wanakofundishwa maadili mema na "faili" lao halipaswi kuwa na doa, kwanini sasa serikali haifikirii kuanzisha chuo cha wizi?. Anapochaguliwa mtu kwa sifa ya uaminifu kwenda kupambana na wezi, anakwenda kupambana kwa namna gani?, afadhali wapite kwenye chuo hicho kwa miezi mitatu wajue "brain" ya wizi" Jumanne Kishimba-Mbunge Kahama Mjini #KutokaBungeni #CloudsDigitalUpdates

Category

Show more

Comments - 12