Tangazo la kuelimisha Wananchi kujikinga na virusi vya Korona ( COVID 19 ). Usafi wa eneo lako la kazi ni silaha muhimu sana. Tangazo hili limetolewa na Chama cha ACT Wazalendo katika wajibu wake kwa Umma kupambana na mlipuko wa #COVID19TZA
Category
Show more
Comments - 0
Related videos for ACTDhidiYaCorona Elimu kwa Umma 1: