Duration 4:44

Dr. Chris Mauki: Usipoyaelewa mambo haya utateseka kwenye ndoa yako

8 824 watched
0
154
Published 12 Jul 2021

Pamoja na kwamba tunaingia kwenye ndoa ili tufurahie ni vema ukafahamu ya kwamba kuna mambo usipo yaelewa vizuri ndoa yako itakutesa. Ni vema uyaelewe ili usijikwae na kuishi maisha ya machozi na majonzi. Haya hapa mambo yenyewe.#DrChrisMauki#Ndoa#Mahusiano.

Category

Show more

Comments - 28