Duration 3:36

WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA

52 watched
0
0
Published 6 Jul 2021

Katika kuadhimisha siku ya Ushirika Duniani, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa alipata wasaa wa kutembelea banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya katika viwanja vya Nane Nane Tabora Mjini. Waziri Mkuu alipongeza Juhudi za NHIF kuwafikia wana ushirika kwa kubuni nja mbalimbali kama kupitia Mashirika ya Kifedha ambayo hadi sasa Mfuko umeingia Makubaliano na Benki ya CRDB, NMB na TPB katika kuwapatia wana ushirika huduma za Bima ya Afya.

Category

Show more

Comments - 0