Duration 12:6

Rose muhando & Bahati bukuku ( simba official audio)Mwansansu -Mwaitege -Abiudi -Abwene)

404 056 watched
0
2 K
Published 7 Jul 2020

Huu wimbo ume tungwa na kuimbwa na Annoint Amani, kwaajili ya kuwa pongeza waimbaji wote walio tangulia kwa kufungua njia ya mziki wa injili afrika kutoka Tanzania, Tunaamini bado mziki wa injili unafanya vizur kwa sababu ya kazi yao kubwa Sana waliyo ifanya, mpka sasa weng wanaokolewa kupitia nyimbo zao, Lakini pia Annoint Amani ni mwimbaji wa kizaz kipya anae anza kupeperusha pendera ya mziki wa injili kimataifa, ivyo ameomba wazazi hawa walio mzaa katika mziki wa injili wamuombee na kumshaur kwa kila hatua anayo iendea, maana Mungu anatembea na wanaotii na wanyenyekevu wenye kushuka na kuona kile wafanyacho si wao Bali ni Mungu ndani yao) (Studio A.EA Tones Dar es salam Tanzania For booking +25567240181-+255755099942)

Category

Show more

Comments - 362