#CHADEMA #TAKUKURU #MNYIKA #MBOWE #WABUNGE
"Baada ya kubaini ile imani yenye mashaka tuliyowapatia Takukuru kuchunguza walichodai matumizi mabaya ya michango ya wabunge wa Chadema, imeanza kudhihirika sio sahihi, kuna viashiria wazi kwamba Takukuru kuichunguza @ChademaTz kuna malengo mengine tofauti ya kisiasa" @jjmnyika Katibu Mkuu Chadema.
#vambatv_updates