Duration 9:8

MUENDELEZO:MAMA ANAYEPATA MATESO KUTOKA KWA MUMEWE/MUME AONGEA/MTENDAJI /MAJIRANI

51 741 watched
0
385
Published 3 Jun 2020

Leo ni muendelezo wa lile tukio la jana kuhusu Mama anayepitia mateso kutoka kwa Mume wake.Nimezungumza na baba pamoja na mtendaji wa mtaa na majirani.Tizama hapa #geahhabibu #GeahTv

Category

Show more

Comments - 570
  • @
    @teacherd4 years ago Dada nimependa unavyo jishushaa.... kazi yako ni ngumu kweli😀😀 37
  • @
    @goodgood93704 years ago Huyo baba ni Yeye amemtoa Huyo mke wake sadaka ataka afe amle nyama au amfanye msukule wake. 47
  • @
    @hjhj62304 years ago Mungu ni mwema..km wanasheria wameshaanza kujitokeza Alhamdulillah..tuleteee muendelezo in shaa Allah tujue mwisho wake 5
  • @
    @veronicatweve47864 years ago Asante sana mdogo wangu Geah hata sie tunajifunza kupitia kipindi chako 🙏 13
  • @
    @monicamwazambe94274 years ago Eeee mungu ebu mpe pigo angalau kidogo uyu mwanaume 36
  • @
    @kautharsalat64494 years ago Astagfirullah kuna watu hawataona pepo kabisa,pole sana da geah kazi ngumu kabisa piga kazi dada tupo pamoja 💪 💪💪💪💪 16
  • @
    @nadinemasengo99704 years ago Asante geah endere kumusaindia huyu mama sauti yako iwe ya ukombozi😍♥️ 15
  • @
    @salhaissa26194 years ago Uyu baba anaonekana katili hatary dah😭😭😭mung msahdie uyo mama!! 13
  • @
    @lightmbasha64044 years ago Da gea..baba uyo Mama apewe ulinzi ataweza kuwafanyia kitu kibaya 😭 23
  • @
    @lelyafriaq42404 years ago Mkuu wamkoa Paulo makonda fatiliahili swala kaka 17
  • @
    @wardaniyigena27224 years ago Alafu watoto kesho wakipata mafanikio makubwa wakim support Mama eti mama anakataza watoto 6
  • @
    @asterm38434 years ago jamani tuungane pamoja kumsaidiya huyu mama inaumiza mno 23
  • @
    @shifaazawadi44384 years ago Ndomaana mimi sitaki ushikiano na mume kabisa yakwangu najisimamia mwenyewe plot nilizo nunua sikumwambia nanyumba nilizo zijenga binafsi yangu sikumuhusisha kitu chochote naishinaye pamoja na watoto lakini malizangu niliandikisha watoto cz najua wanaume wengine ni vigeugeu hata leo akinifukuza najua nitaendawapi ... 8
  • @
    @faridamkesso974 years ago Huyo Mzee dish limeyumba achukuliwe hatua maana ni hatari kwa jamii asipochukuliwa hatua anaweza leta madhara makubwa sana, pole sana mwanamke mwenzangu Mwenyezi Mungu akuponye na akutie nguvu
  • @
    @annaswai60724 years ago Ndo maana nimeachika mapema tu 👌👌ukute huyu baba tabia mbaya alikuwa nayo tangu Enzi ya ujana wake lakini wamama tunajipa Moyo atabadilika ona Sasa daah 😭😭😭 jitu lenye tabia yake haliachi hata lizeeke vp mwee Mungu akutie nguvu mama yaangu ... 18
  • @
    @evekikweshanicco40534 years ago Nimeumia sana! Pole sana mwanamke mwenzangu 7
  • @
    @khadijasalum23024 years ago Tonaa geah leo umenifurahisha Allah akupe khair ktk kazi zako na subra ktk kazi zako 7
  • @
    @levinalowah11394 years ago Dah
    Huyu baba anaroho mbaya
    Mungu amsaidie huyu mama jamani
    23
  • @
    @mr.yahzadochuno79144 years ago Jesus serikali iko wapi jamn huu ni unyama wa hali ya juu 7
  • @
    @maidevrasumbura18804 years ago me kazi ya utangazaji nisingeiweza kwa kweli ningemchambaje 5
  • @
    @omklthomomklthom80904 years ago Nimekua wamwanzo leo💃🏽💃🏽 jaman huyu baba achukuliwe hatuwa wallh 13
  • @
    @namsamson34434 years ago Kwanza serekali inabidi imlinde huyu mwanamke, na watoto. Anaweza waua au wafanyia kitu kibaya 14
  • @
    @waukweelinikkon65554 years ago Huyo baba Siyo Mzima aiseee,halafu lichawi linaonekana Mmmh, 12
  • @
    @tedymwandara54804 years ago Jaman huyu baba km jeuri hivi awekwe ndani ili akili irudi 12
  • @
    @mozasaid38694 years ago Dah! Huyu baba ni shida!! Leo Geah umepata mtihani wa kazi!! Huyu baba si mtu kabisa!! 3
  • @
    @aisatahaisatah26124 years ago Subhana Allah nimechoka hekaheka zote niliona iyi kiboko baba jeuri saaana uyu ila Allah atatenda kila lenye mwanzo linimwisho wake 1
  • @
    @mrsochu-hv7bm4 years ago 😂😂😂😂😂😂😂geah leo umepatikana
    😂😂😂😂😂so kwa, kushushuliwa uko
    Ila da geah kazana dada angu uyo mama apate haki yake msaidie dada angu mungu ndo atae kulipa
    17
  • @
    @fatemaissaissafatema63104 years ago Mungu yu pamoja utasimama tena magufuli Baba kunamtu jeur sana anamnyanyasa mwanamke mwenzetu shime baba 1
  • @
    @estertiffa77064 years ago Na muomb Mungu ampe maisha marefu hyo baba hd azeek ili aje kuona thaman ya wtoto yaaan nimeumia mnooo
  • @
    @AishaAisha-rh1fc4 years ago Kwa SERIKALI ya mzee magu majibu tutayapa 11
  • @
    @nusuranusura46884 years ago Mwenyezi Mungu akuzidishie Gear. Usichoke ,pambania huyu mama apate japo kula
  • @
    @lydiaakimana79884 years ago Daa Gea leo umepatikana pole kwa kazi ngumu unayoyifanya kuwasaidia wana inchi kwa kweli duh huyo baba karogwa sio bure lakini aliemroga kuna siku atakutana na hukumu ya muumba
  • @
    @salomeedwin29044 years ago Wewe baba mungu anakuona mwisho upo utakuja kujuta utawakumbuka nahao unao wakataa leo
  • @
    @agneshiza01264 years ago Tunaomba utuletee muendelezo dada hao wanasheria waliojitolea kumsaidia watafikia wap manake huyo baba inaelekea kunakitu kinampa jeuri haiwezekani kudharau hivyo 32
  • @
    @swabrinaboss79594 years ago Huyo mume wake karogwa na huyo mchepuko wake..malipo ni hapa duniani tu..mungu amponye huyu dada yetu..hapa kenya tungemshuglikia kweli kwa marungu
  • @
    @esterelias81894 years ago Duuh kuwa na mume kama huyu nibora uishi peke yako kbs ijulikane..........kuna majini watu hapa duniani.............pole geah
  • @
    @najma32684 years ago Pole sana mama Na watoto maana anawakana watoto hivi
  • @
    @annagesura83754 years ago Dada gea leo umepatika huyo baba chizi kweli au amerogwa mpaka anafikia hatua ya kuwakana watoto mungu wangu
  • @
    @lisauroble314 years ago IMENIUMA SANA KUTESEKE HIVYO MUNGU YU PAMOJA NAWE ATAONYESHA NJIYA TUU
  • @
    @sharifaabdullah68254 years ago Dada gear mungu atakulipa wewe ndio mkombozi wake na watoto 3
  • @
    @isamony584 years ago Mungu mlinde yule mm kwa nguvuzako ww nimuweza wakilajambo uyuu bb nikichaaa 2
  • @
    @doramkolo17454 years ago 😂😂nimecheka kama mazuri eti mi mmeo😂 geah kumbe unakutana na vichwa barid kwenye kazi...ila unajua kuongea nao....yani hugo baba anaonekana kichwan hazimo poa...ila cha msingi na secondari...yule mama asaidiwe la sivyo naona atakufa pale na watoto wakaingia mitaani.... ... 2
  • @
    @tausihussein91554 years ago Uyu Dada atakufa ni bora atoke hapo uhai autafutwi ila maisha utafutwa subuhanna mwanaume nyny Allah anawaona
  • @
    @namirihamisi38994 years ago Hawa watu ni wagonjwa wote wamechanganyikiwa achana nae muhimu ni huyu mama asaidiwe matibabu ajulikane anasumbuliwa nn pengine anaficha wagonjwa hao bwana weee. 4
  • @
    @shakilamasoud29834 years ago Waandishi mnapitiaga mapito magumu khaa' si kwa hayo majibu ya huyo Baba. Usife moyo Geah' Mungu akulinde.
  • @
    @victoriadaizy52774 years ago Huyu mzee atakufa mwenyewe asipo wachana hayo Mambo yake Mungu halali.
  • @
    @memisaphusseni71904 years ago Subhanaallah uyo baba afungwe ana ata aibu kwly jaman 5
  • @
    @wemakalamu35384 years ago Haya mambo ni makubwa wanaume dah this is too much ndio maana sitaki presha @gear habibu mwenyeezi mungu akufanyie wepesi kwa hii kazi ni ngumu kweli.
  • @
    @zakiamsafiri123zakiamsafir74 years ago We baba fimbo ya Allah inakuja njiani fara sana umbwa mkubwa Allah akutie upofu ili jeur ikuishe senge sana kubwa zima unanyanyasa mwanamke alikuzalia watoto watano na hao watoto leo hi unawakana ALLAH ndie mlezi watoto wanapitia magumu watafauru mtihani ...
  • @
    @didatratranee25314 years ago Mungu hakupi mtihani usiouweza mama pigania haki yako utaipata tu Paul makonda msaidie mama
  • @
    @janethdaud10824 years ago Dah huyo baba jamani 😃😃eti uwafate walevi 😃😃pole geah kwa kuchambwa jaman 2
  • @
    @zenakidika18934 years ago Eee munguu muukumu Huyu baba kwa kadri uwezavyo kwa makosa haya na kauli zake zaushujaa
  • @
    @mokejohn654 years ago Aliesikia mimi ni mwanaumke wewe ni mwanaume kumbe huyu baba nimwanamke agonge like hapa nijuwe kwamba tunaenda sawa
  • @
    @florahkimbage95714 years ago Yan ningekuwa na uwezo huyo baba ningemfukuza nchini kabisaaa akatafute nchi yenye watu wenye roho kama yake! Na wanawake tusivumilie mateso eti MTU atabadilika tuchukue hatua mapema,,, mi ndo maana nilitoka kwakweli maana kilichokuwa kinanifuata ni zaidi ya hiki, hapana kwakweli🙌🙌🙌🙌 ...
  • @
    @safiyatheonlything78484 years ago Inshallha atapata haki yake tu huyo baba ana roho mbaya na zarau juu mungu ata muhukumu
  • @
    @sadiaabed66874 years ago Hana mke na watoto anawakataa kama sio wake wapimwe d.n.a aonyesha anamdomo mchafu huo mume 5
  • @
    @abisinaadili20744 years ago Da gea pole na mume umepata.lifikisheni kwa raisi
  • @
    @Hassanmofty4 years ago Uyu Baba mwanga sana mbwaaa huyuu na nia yake amuuee Yule mwanamke na kwa uwezo wa mungu aitawezekana
  • @
    @patriciousnjau77924 years ago Gea Mungu akutunze....uzid kusaidia watu wenye shida kama huyu mama....Kaz yako ni ngumu inatakiwa uvumilivu na umakin mkubwa mnoo.Tutazid kukuombea.Usiache kutuonyesha muendelezo wa huyu mama mpaka tuone suluhisho kwa kweli.... ...
  • @
    @annachuma2474 years ago Geah inabidi uende na watu kwa huyo baba asije akakupiga bure,mwenyekiti wa mtaa kapoteza maisha kisa ugomvi wa mtu na mkewe
  • @
    @daimavlog4 years ago Huyu mume anakichaa wallah, ila Geah jamani leo umepatwa jamani. 2
  • @
    @umranim58544 years ago Geah habibu fatilia hili swala mpaka mwisho mungu awape subra na majibu ya huyo baba mfedhuli sana sio mtarabu kabisa ana onekana ana roho mbaya sana
  • @
    @marygirembowe70264 years ago Kweli huyu baba kiboko duh sijui yamemsibu nini ....Mungu azidi kumsimamia mama
  • @
    @ameenasur6564 years ago Mmmh uyu baba mzima kwel yan anawakana adi wanawe ajui nan atakuja kumzika 3
  • @
    @user-en6qq3rs8j4 years ago Dada Geah pole sana kazi yako ngumu sana ila kazana uta shinda tu
  • @
    @fatmamshangama98244 years ago Duuuh hy baba aniuzi kwann mwazalilisha wanawake jamn mungu tunusuru wanawake
  • @
    @aishajeanine35524 years ago Inauma sana mwenyezi Mungu atujalie mwisho mwema
  • @
    @halimareubeni52744 years ago Mungu wetu wewe hushindwi jambo mpiganie huyu mama apone haraka ili iwe ushuhuda
  • @
    @MymySaudi4 years ago Mungu aweze kufunga huyo mwanaume huo mdomo wake kabisa
  • @
    @rachelstephen30094 years ago Habar yako Geha nilikuwa naomba mawasiliano ya uyu mama ni ndugu yangu.samahan
  • @
    @sharifahamisi90914 years ago Huyu alitaka mtoa kafara kabisa sasa mungu Mkuu anampigania huyu mama 6
  • @
    @babymansouth11644 years ago Kha Huyo Baba anaMajibu ya kusudii Masikin kama Geah ameweza kujibiwa hiivije Huyu Mmama Anajibiwajee kiukweli Mjeuriiiisana na mkolofiiiiii hatariitupu😥😱😭😭😭
  • @
    @sonicaghendewa98864 years ago Uyu Baba Fala Nini???? 😂😂😂Eti Sina Mke, Asa Kweli Wamekaa Siku Zote Izo Then Eti Sio Mke wake 11
  • @
    @umranim58544 years ago Laaah balaa huyo baba ana majibu mavi mungu amlani na ampe mateso apa duniani na kesho hesabu
  • @
    @sophiajohn25794 years ago Hivi hamn sheria ya kunyonga mijitu misenge km hii jmn..Anyongeleww mbali aisee roho gni ya kishetani hyo 1
  • @
    @predigangaruwaichi34904 years ago Huyo baba anajua chanzo cha mateso ya mkewe na alikuta huyo mama kasimama na Imani laxvyo angeshakufa maombi yanaitajika kwa kweli
  • @
    @nahdamohammed62014 years ago jaman kuna watu wamepinda hatari . pole da gea hizo ndio changamoto za kaz . ila nimecheka km mazuri , mungu atupe subra na uvumilivu wa ndoa zetu inshallah.
  • @
    @mariamumushi82374 years ago Huyo baba ni mshenzi sana amechanganyikiwa na mungu atamlipa maana anayoyatenda tunaomba serikali ifuate mkondo wake
  • @
    @rukiamohammed50314 years ago Daah huyu baba c bure kichwa chake ni 50 rasi 50 majinuni lkn mungu yupo atacmama na huyo mama apate haki yake Inshallh et sio mke wangu miaka yote hiyo umekaa nae ht km huna ndoa nae kisheria ni mkeo na Hao watt alizaa na Nani km sio ww sheria itatendeka na mungu atamlaan mtume atamshindilia na kufa ataanza kufa huyo baba huyo mama ataishi Inshallh jpo anateseka 😢😢😢 ...
  • @
    @zuriethbashir4384 years ago Aya ndo maneno aliyozungumzaga baba angu alipokua na pesa enzi hizo sijawahi sahau acha Mungu atufunze kusamehe😭😭
  • @
    @nemhinapolenisanahakiyamtu23214 years ago Mh huyu baba kiboko sana mungu huyu wetu sotee inshalllah haki itaptikabna kwa huyu mama na wanae
  • @
    @shuca4 years ago Ana mikataba na nguvu za giza, ameviiba vyeti ili awakane. Waende RITA watavipata. MKEWE aende KKKT Kijitonyama kwa Mchungaji Kimaro 8
  • @
    @zahaljamal45204 years ago Anataka kumtoa mkewe msukule apate utajiri ambao ukikosea masharti unafilisika nakupoteza maisha
  • @
    @paulinasteven69024 years ago Huyo mm aende kwenye maombi mungu atafanya njia pasipo na njia huyo bb atakuwa anashida raisi wetu ambaye ni mtetezi wa wanyonge msaidie huyu mama
  • @
    @rosejoseph93784 years ago Huyo mbaba anadharau sijawai ona aisee da geah pole kwa majibu uliyopewa
  • @
    @devybernardlaizer77134 years ago Kaza buti geah kazi yako sio bure Mungu atakulipia
  • @
    @latriciah01augustino674 years ago Huyu mzee mtata ana roho mbaya sana anaonekana loooh......! Appointment kwio mxiuuuu.....! Utapata malipo yako hapa duniani jifanya jeuri Mungu atakuonyesha ukuu wake
  • @
    @ireneassey36854 years ago Mungu wadangaj wote wanao wafany wanaume zawatu iv awaend mbingun