Duration 5:28

Mapishi ya Bamia na Viazi Mviringo/Mbatata

11 487 watched
0
0
Published 18 Mar 2019

Matayarisho Bamia 400g au kiasi cha kutosha Viazi 5 Nyanya 4-5 Nyanya ya kusaga 1/2 kikombe Vitunguu 2 Chumvi kijiko 1 cha chai Pili pili manga 1/2 kijiko cha chai Kitimiri (Coriander) kijiko 1 cha chai Manjano ( tumeric) kijiko 1 cha chai Mafuta kiasi Unaweza kutia binzari au viungo vyovyote vingine unavyopendelea . Muda wa kupika 30- 40 min

Category

Show more

Comments - 14