Duration 1:51:20

Sanaa za Kibibilia, Bibilical Arts

105 watched
0
0
Published 17 Oct 2019

Biblical Arts, the third plenary session at the Sounds of East Africa Media Forum held from 20-23 August, 2019 at Habari Maalum College in Ngaramtoni, Arusha, Tanzania. Sanaa za Kibibila, kipindi kikubwa cha tatu katika Sauti za Afrika Mashariki Jukwaa la Vyombo vya Habari, iliyotoloewa tarehe 20-23 Mwezi wa Nane, mwaka 2019, katika Chuo cha Habari Maalum, Ngaramtoni, Arusha, Tanzania. Facilitator/Mwezeshaji: Zakayo Nzogere, Mwanza International Community Church Translator/Mtafisiri: Nestory Ihano The Sounds of East Africa Media Forum brought together musicians and other artists, video, audio, and radio media specialists, as well as church leaders in East Africa for three days of teaching in their profession, heart arts, biblical worship, arts, and media, as well as intentional networking. All sessions were translated between Swahili and English. Participants also had the chance to create together; most created works are multi-cultural in nature, representing both the people in attendance at the event as well as the communities that they come from. Sauti za Afrika Mashariki Jukwaa la Vyombo vya Habari ilikusanya wasanii aina mbalimbali, wataalum wa video, audio, na redio, pamoja na viongozi wa kanisa katika Afrika Mashariki kwa siku tatu ya mafundisho ya utaalum wao, sanaa za moyo, kuabudu, sanaa, na media ya kibibilia zote pamoja na fursa kujenga mahusiano na watu aina mbalimbali. Vipindi vyote vilikuwa vilitafisiriwa kati ya Kiswahili na Kiingereza. Washiriki wote walipewa nafasi kubuni pamoja. Uumbaji wengi uliunganisha pamoja utamaduni mbalimbali, uliosimama kwa mchanganikyo wa washiriki pamoja na jamii mbalimbali walipotoka. Heart Sounds International in partnership Habari Maalum Media and College, by the grace of God, produced this event. For more information about any of these organizations, check out their websites below, or make use of the contact info at the end of the video. Sauti ya Moyo Kimataifa wakishirikiana na Habari Maalum Media pamoja na Habari Maalum College kwa neema la Mungu walizalisha tukio hili. Kwa habari zaidi kuhusu shirika yoyote, soma website yake chini, ama tumia mawasiliano mwishoni ya video. http://heart-sounds.org/ http://www.habarimaalum.org/ http://www.habarimaalum.org/

Category

Show more

Comments - 0