Duration 16:24

UKWELI KUHUSU KAZI ZA KULEA WAZEE ULAYA NA MAREKANI

13 367 watched
0
219
Published 24 Feb 2019

karibuni kwenye channel yetu msisahau kusubscribe kupata habari zote zinazotrend za nje na ndani ya nchi Maoni , ushauri , kutangaza nasi tuandikie instagram devotv online email: kunta1010.rm@gmail.com SOCIAL MEDIA Facebook https://www.facebook.com/swahilifilmd ... INSTAGRAM DEVOTHA MEDIA DEVO TV ONLINE Diamond platnumz, alikiba, zarithe bossylady, maisha ya ughaibuni, shilawadu , ubuyu, hamisa mobeto , wemasepetu, bongomovie , na mambo mengi subscribe asante

Category

Show more

Comments - 239
  • @
    @devothadonaldsimbi34995 years ago Yaani nimejisikia kucheka kwanza,sio rahisi kukuelewa kwa watu ambao hawajaishi ulaya hata kidogokama unavyosema kazi hiyo wanaichukilia kana kwamba Ni ya wasiokuwa na elimu Ni kazi ya ovyo,Niko ufaransa kazi hiyo inafanywa na nurse uko sawa mpka upitie medicine na lugha ujue kiingereza kibaki nyuma kifaransa mbele,wanaojidai na kiingereza huna nawapa pole Sana kwani sio ulaya yote wanatumia hiyo lugha.naamini doctor wa Tanzania akifika ufaransa Kama anaongea kifaransa ndio anaweza kufanya na hatoitwa doctor ataitwa lazima aende Tena darasani hawatakuamini na cheti kutokea nchini ulipotoka.pia kibali Cha kufanyia kazi unaweza kupata visa Ila je visa yako inakuruhusu kufanya kazi. .. ...Expand 2
  • @
    @glorymollel226last year Naomba nitafutie kazi ndugu yangu maisha yangu magumu. 2
  • @
    @munaahmed84993 years ago Wao mama fanjo mm english sijui na kazi napenda mpaka sasa napigika oman huku nikuombe nitafutie ya kulea mtoto 1 english nitajua taratibu insha allah . ...Expand 3
  • @
    @yahayahanafi32349 months ago Dada ujambo iyokazi mshaara no shilingi ngapi.
  • @
    @tuntufye88145 years ago Nakupendaga sana co mchoyo mama franjo.
  • @
    @bobushivo61825 years ago Dada mi naomba nitafutie kaz huko please. 2
  • @
    @mariachombo73164 years ago Naomba jinsi ya kupata kazi huko, ni nurse asstant tayari. 1
  • @
    @balozibalozi52575 years ago Upendeza sana na topic nzuri dear nimeipenda.
  • @
    @msafiri855 years ago Dada naomba utuelezee kazi ya redlight. Asante sana dada. 1
  • @
    @ninosaodi55593 years ago Mm dada najua kusuka nyele aina zote na kushonea wingi rasta aina zote na passport nnayo.
  • @
    @glorymollel226last year Jamani dada yangu mimi sijui kiingereza ila ntajifunza niaidie. 1
  • @
    @milliegachihi94282 years ago Naeza ipata wapi plz atakama ni uku kenya am very stressed nanko willing kufanya.
  • @
    @natashaplatin581811 months ago Naipenda kazi hiyo ya kurea wazee. Mama franjo. Samahani sana. Natuta kazi hiendele. 1
  • @
    @sandraamani1125 years ago Asante sana kwa kutujuza, sasa wengi tumefahamu kuwa kila kazi lazima kusomea.
  • @
    @gullaalex65905 years ago Naomba uwelezee kz za usaf maofosn n hotel. 2
  • @
    @zungumyonly13935 years ago Ahaaa mama franjo nimeanza kukuangalia tu leo baada ya jana rafiki yangu kunambia but your so funny nipo sehem ya tisa ya historia yako ila ume make my day leo but pole na hongera kwa ku pambana. 1
  • @
    @sarahsilasisarahsilasi58235 years ago Nimekuelewa sana mamy uzidi kutuelimisha sisi wa tz. 1
  • @
    @jobrosana30103 years ago I need the job to take care of the old people.
  • @
    @nourumouniry71204 years ago My dear mie nimezoeya kulea wazee nimelea wazee wawili oman kwahyo naweza dada nifanyie mpango hata kama sio kulea wazee hata yausafi ndani yani kazi za ndani. 2
  • @
    @anjelinakaniki91623 months ago Habar yako dada jamani mm nahitaji naomba unisaidie. 1
  • @
    @maryammaram26125 years ago I love you mamy mi napenda uongelee kazi ya baby sitting na kazi za kupika na je mahouse keeping huko misharaha yao ipoje. Il. 1
  • @
    @jovenchik25215 years ago Nimefika kwa speed ya 4g.
    hii topic konki sana.
    2
  • @
    @johnmgalula18302 years ago Mimi ninaomba dada uniunganishie kazi ya kufundisha ni mwalimu.
  • @
    @fatemaissaissafatema63104 years ago Mm nimeifanya miaka8 inataka moot sana nilikua ananipaka kinyesi ataki kuoga yaan umbembeleze mpaka akubali apo ushunusa mavi na use na uruma nimejenga na family yang nimeweza kuilea na nilikua mwenyewe tu. 2
  • @
    @tuntufye88145 years ago Unatusaidia sana wa tz, umeongea vzr, sisi hatujui huko kuna kaz gan na gan, tunaomba tuelezee kazi ambazo hazihiyaji elimu na mishahara yake. 6
  • @
    @Kenchiyh5 years ago Watu wanathani utaajiliwa bila any process. 1
  • @
    @ilovejesus93035 years ago Marekani unafanya ila ukitaka upate kwa urahisi unasomea cna ( certified nurse assistance) miezi 3 unapata cheti then unapata kazi zipo nje sana. Ukiisha . ...Expand 9
  • @
    @kikapuchetu39354 years ago Njia rahisi ya kupata ukaazi wa kudumu Canada
  • @
    @elinamwinuka89125 years ago Mama franjo please tuelezee hizo kazi vizuri ili tufahamu nini cha kufanya manake hiyo elimu wengi wetu hatuna. 1
  • @
    @barikikaroli60885 years ago Umeongea ukweli sana watu wengi wanadhani ni kazi ndogo. 1
  • @
    @jovenchik25215 years ago Watu wanafikra potovu ya hii kazi
    wanahisi ni kama kazi ya slope.
    4
  • @
    @itsangylifestyle11625 years ago Kazi za chida izo my dear.wengi wanakwaka na enda jela ju ya izi ma kazi.piya namiye nili soma juya ku leya watu wakubwa.lakini siji sikiyi ata kutafuta kazi inahusu iyi unapashwa ukuwe na roho ngumu yaku towa mavi .. ...Expand
  • @
    @zammaulidi75073 years ago Kweli kazi kubwa dawa za masaa kama katobolewa tumbo ndio kumsafisha yani kazi sana ukikaa na mzee zidi ya mtoto. 1
  • @
    @rehemahramadhani34285 years ago Ila wazee wa huk inaonekana wana tab sana lkn kila mzee ana tabia yk.
  • @
    @elvisoscar99123 years ago Mi nataka iyo ya kulea wazee ila iwe marekani nitafute 0784702802.
  • @
    @asfarsham90374 years ago Canada, usaidizi wa wazee wanaita personal supportpia angalau miezi 6. 3
  • @
    @jumanassoro15522 years ago Ndio maana god bless lema na tundu lisu wanajivuna sababu kazi za kuogesha vibabu vya kizungu uko ushogani. 1
  • @
    @chayogasperi97834 years ago Malipo yako vipi?
    mbona kazi rahisi tu hiyo?
    3
  • @
    @BillysFamily5 years ago Wapee chai dada it' s very hard than you can think. Yani sifanyi kazi hiyo ila nawasalute watu wote wanaofanya kazi hiyo. Unahitaji uvumilivu na upendo wa hali ya juu na sio kila mtu anaweza fanya period. Elimu pia. 5
  • @
    @jean-baptistamosescumudia18092 years ago Nilipata kazi hiyo scotland - aberdeen mwaka jana lakini nilisita sana kwasababu visa haikuruhusu kufanya kazi nyingine zaidi ya hiyo. Bado wananiulizia kama nipo tayari. 2
  • @
    @lucaskimaro29645 years ago Mama franjo tunaomba utuelezee kazi ya uphamarcia huko inakuaje?
  • @
    @mwanaharabu825 years ago Nafikiri ni hivyo kwa nchi karibu zote za eu. 1
  • @
    @hannahnduta85382 years ago Please help me get a job for the elderly. 1
  • @
    @tfsgvz93693 years ago Nnmanisha kusomea kazi ya kulea wazee wakati unasoma una lipwa pesa ama hulipwi? 1
  • @
    @florachifupa27515 years ago Ma flanjo ninashida na ww ila naishi hapa czech republicni jirani ujeluman tuwasiliane kwa maelezo zaidi. 1
  • @
    @rehemaathumani30715 years ago Ila jamani kwenda ulaya sio kukurupuka tu.
  • @
    @sophiamasawe430911 months ago Sorry dada wanahtaji watu wa umri gani mi nina miaka 37.
  • @
    @devothadonaldsimbi34995 years ago Hapa ufaransa hata kazi ya house maid sio rahisi kuna kozi na babysitting hivyo hakuna jamani hata kulea watoto tuu hakuna urahisi kila kitu kinaenda na . ...Expand 2
  • @
    @jumanassoro15522 years ago Tushakuelewa sisi tunajua kazi ya kulea wazee ayo majina yote unayaleta wewe wazee ni wazee tu usituchanganye sisi wote waswahili. 1
  • @
    @mawam64624 years ago Alaf ikiwa mtu ana uzowefu naiyo kazi yakulea wazee je kuna ulazima wakuisomea?
  • @
    @jovenchik25215 years ago Na pia unatakiwa uwe unajua kuhandle mtu mzima bila kunyanyapaa kinyaa na uwe na upendo. 4
  • @
    @nikitadiamorelivingstone28315 years ago Hizi kazi za kulea wazee, au kulea disabled people, sio kazi za kila mtu, kwa maana bora kazi tu, ni kazi ambazo zinahitaji mtu mwenye upendo na uvumilivu wa hali ya juu, kutunza wazee wa huku ulaya sio mchezo. 1
  • @
    @saidmaulid76683 years ago Mi nataka kazi yoyote dada nisaidie hata mawazo tu.
  • @
    @tfsgvz93693 years ago Sasa ukiwa wasoma hiyo kazi uta somea wap alafu ukiwa masomon uta lipwa ama nivp. 1
  • @
    @vannymtengile48483 years ago Samahan dada naweza kupata mawasilano yako au namba yangu hiyo ya what' s up 0685988661.
  • @
    @sarahmunyiva57695 years ago Ninapenda iooman qatar na nikabatiika nipate tena naeda kuifanya. Dio my job that i like. 1