Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda ametoa tahadhari na kudai kuwa kwa wale wote watakao kutwa wanazurura mjini bila kuwa na kazi ya maana watakamatwa, kwani wao ndo wanao sababisha mikusanyiko hisiyo kuwa na tija.
@ndarogamba1914 years agoMaisha ya watanzania yote yanafananautamtambuaje kwamba huyu anazurura au hazururi? mbona mtakamata wote kisha muwape hela ya kula mn bado unyonge wetu haujaisha tena ndo umezidi na hii corona. ...Expand3
@
@ashaali71544 years agoHapo unaambiwa uache uvivu usiogope corona utoke ukafanye kazi halafu ukitoka kuhangaika utakamatwa sasa mwananchi afanyeje jamani? 5
@
@saidabdallah49014 years agoDunia ya leo mambo hayapo hivyo hakuna mtu uliyempa kazi hakaikataa.
@
@dullahamoud60374 years agoMm nahisi wazururaji hasa wapo kwenye mabaa ' na kumbi za tarehe, makasino, madisko, beti nk.
@
@hasani5654 years agoHuyu nae ukiwakamata alafu ndio nini utawarundika wapi hela.
@
@lilianmngulwi71194 years agoMaisha ya watanzania wengi ni ya mtembea bure si sawa na mkaa bure huenda ukalokota, sasa hapo ni kutafuta vita kati ya mgambo wa jiji na raia.
@dachjunior47664 years agocomments zilizo nyingizaonesha tafsiriya neno mzururajiyawezekana haifahamikikabisa.
@
@CheMatakaofficial4 years agoTujitaidi kila mtu utimize majibu wake.
@
@simbalion28714 years agoMh makonda tafadhali maagizo yako yanaleta madhara leo jpl washaanza kukamata watu bila kosa mtu kaka barazani kwake wanamkamata kumtia ndani ya difenda. ...Expand1
@
@maryamali92294 years agoMwanzo ulisema ugonjwa huu usikufanye usifanye shughuli zk, ulisema ugonjwa kweli upo lkn wt wapige kazi leo mnakamsta wazururaji, wkt nchi za ulaya zimefunga kila k2 watu wl lock down? Hatujiuzi kweli watanzania.
@
@janethkimaro34104 years agoMuheshimiwa ingekuwa vyema kwa jiji letu la dar es salaam kuwepo na utaratibu mzuri wa kuendesha masoko na sehem zenye msongamano mfano; viongozi wa masoko. ...Expand1
Related videos for PAUL MAKONDA: TUTAKAMATA WAZURURAJI WOTE WANAO ZURURA MJINI BILA KAZI YA MAANA:
mbona mtakamata wote kisha muwape hela ya kula mn bado unyonge wetu haujaisha tena ndo umezidi na hii corona. ...Expand 3
sasa mwananchi afanyeje jamani? 5