Duration 11:26

UONGOZI WA YANGA MMESIKIA: MSIWADANGANYE MASHABIKI/ SEMENI UKWELI/ UBINGWA BADO SANA

73 659 watched
0
167
Published 19 Aug 2021

MCHAMBUZI WA SOKA LA BONGO PRIVADINHO AMEUTAKA UONGOZI WA YOUNG AFRICANS KUACHA TABIA ZA KUWAAMINISHA MASHABIKI NA WANACHAMA WA KLABU HIYO KUHUSU UBINGWA, KWA KIGEZO CHA USAJILI WALIOUFANYA WAKATI WA DIRISHA LA USAJILI KUELEKEA MSIMU WA 2021/22. ------ Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #yangasc #ubingwa #usajili

Category

Show more

Comments - 93