Duration 30:22

Tazama Simba ilivyopgishwa 'gwaride' na Tanzania Prisons (1-1) | Highlights - VPL

786 363 watched
0
1.8 K
Published 10 Mar 2021

SIMBA vs PRISONS: Luis Miquissone ameinusuru Simba na kichapo cha Tanzania Prisons katika mchezo wa ligi Tanzania Bara kwa bao ya kusawazisha la dakika ya 90+5, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam baada ya Salum Kimenya kuitanguliza Prisons dakika ya 56. Katika mchezo huo Simba walikosa penati iliyopigwa na Chris Mugalu na kupanguliwa na Jeremiah Kisubi lakini pia wakapata pigo kwa beki wao Jumanne Elifadhili kutolewa nje kwa kadi nyekundu. Haya hapa magoli, kadi nyekundu na mkwaju wa penati Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 293