Duration 28:9

BORESHA MAISHA YAKO Part 2

10 538 watched
0
333
Published 7 Feb 2019

Please watch: "FIKIA MALENGO YAKO KIRAHISI " /watch/AEB06hqV3uPV0 --~-- BORESHA MAISHA YAKO - Part 1 /watch/A4fBteBep2FeB ……………………………………………………………………………………………………... Naam, karibu tena hii ni sehemu ya pili ya yale mambo yanayoweza kukufanyia ukawa mtu bora zaidi, ukaboresha maisha yako na kupata mafanikio. Jim Rohn anasema, Success is something you attract by the person you become. Basi fuatilia mambo haya katika sehemu hii ya pili na uyafanyuie kazi, kwa hakika maisha yako yatabadilika. 1. fanya mazoezi, 2. weka malengo, 3. vitendo dhidi ya maneno, 4. jifunze kwa wanaokuhamasisha, 5. acha tabia mbaya, 6. tumia muda vizuri, 7. ishi na watu vizuri, 8. epuka watu wanaoshindwa, . NIFUATE MITANDAONI INSTAGRAM: https://www.instagram.com/ezdenjumanne/ TWITTER: https://www.twitter.com/ezdenjumanne FACEBOOK: https://www.facebook.com/ezdenjumanne LINKEDIN: https://www.linkedin.com/in/ezdenjumanne . For Business please send me an email ezdenjumanne@gmail.com Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076 #Boresha #Maisha #EzdenJumanne

Category

Show more

Comments - 111