Duration 7:39

Magoli yote Simba ilivyoitungua 5-0 Mtibwa Sugar - VPL

774 617 watched
0
3 K
Published 14 Apr 2021

SIMBA VS MTIBWA: Simba SC imetoa kichapo cha mabao 5-0 kwa Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara. Magoli ya Simba yamefungwa na Clatous Chama, Rally Bwalya, Luis Miquissone na Medie Kagere aliyefunga magoli mawili. Tazama magoli yote hapa. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 348