Duration 3:2

AWESO:UKIZINGUA TUNAZINGUANA MCHANA KWEUPE

1 205 watched
0
5
Published 9 Jan 2020

Naibu Waziri wa Maji, Juma Aweso ametoa muda wa wiki mbili kwa wakazi wa Mkolani kuanza kupata huduma ya maji baada ya kutoa wiki mbili kwa wakazi hao kupata maji,pia ametoa muda wa wiki saba kuanzia sasa hadi Februari 20,2019 kwa mkandarasi anayetekeleza mradi wa kuboresha huduma za maji Jijini Mwanza kukamilisha kazi hiyo. Akizingumza na MCL DIGITAL, baada ya kukagua mradi wa maji wenye thamani ya Sh38.9 bilioni unaotekelezwa na kampuni ya Jos Hansen & Soehne kwa kushirkiana na JR international kutoka Ujerumani, Aweso ameonya kuwa Serikali itasitisha mkataba na kampuni hiyo iwapo muda huo utamalizika bila mradi huo kukamilika

Category

Show more

Comments - 20