Duration 7:15

NCHI NNE ZAPANIA KULINUSURU ZIWA TANGANYIKA, MAKAMU WA RAIS AFIKA KWENYE MKUTANO KIGOMA

10 051 watched
0
49
Published 18 Dec 2021

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Philip Isdori Mpango, amesema nchi zinazotumia ziwa Tanganyika zikiamua zinao uwezo wa kufadhili shughuli ambazo zitasaidia kunusuru rasilimali ya Ziwa Tanganyika inayokumbwa na changamoto zinazotishia Uhai wake.

Category

Show more

Comments - 6