Duration 13:28

Simba na Coastal Union zatoka 0-0 Mkwakwani, Wawa alambwa kadi nyekundu - Highlights

142 370 watched
0
474
Published 23 Jul 2020

Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba SC wamevutwa sharubu kwa kulazimishwa sare ya bila kufungana kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga. Katika mchezo huo beki wa Simba Pascal Wawa alijikuta akitolewa nje kwa kadi nyekundu dakika ya 75 baada ya kupata kadi ya njano ya pili. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 69