Duration 24:39

Jinsi ya kupika Mkate wa Vitunguu Majani (Scallion), Vitungu Saumu na Cheese | Pika na Babysky

5 208 watched
0
66
Published 9 May 2020

MAHITAJI 1. Unga wa ngano vikombe viwili na robo 2. Butter vijiko vinne vya chakula (yeyusha), gawa mara mbili 3. Hamira (yeast) vijiko viwili 4. Vitunguu saumu kijiko kimoja kidogo cha chai 5. Mayai mawili 6. Vitunguu Majani (scallion) vilivyokatakatwa kibakuli kidogo kimoja 7. Cheese kikombe kimoja na nusu 8. Maziwa kikombe kimoja na robo

Category

Show more

Comments - 13