Duration 3:58

Dkt. Godlove Mbwanji Mkurugenzi Mtendaji MZRH awaongoza wahitimu wa Udaktari wa Binadamu kula kiapo.

Published 1 Dec 2020

Wanafunzi 223 wa Digrii ya Awali ya Udaktari wa Binadamu(MD) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Ndaki ya Afya na Sayansi Shirikishi Mbeya wakila kiapo cha Uaminifu na Utii wa Miiko ya Udaktari katika mahafali ya 50 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, MCHAS Mbeya.

Category

Show more

Comments - 0