Duration 5:2

GESI NYINGI YA HELIUM YAGUNDULIWA RUKWA

1 774 watched
0
20
Published 24 Jan 2018

Wataalamu wa jiolojia kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wamegundua gesi ya aina ya helium katika mkoa wa Rukwa yenye futi za ujazo wa takribani bilioni tisini na nane nukta tisa.

Category

Show more

Comments - 3