MWALIMU KAPIGWA MIL 20 NA WAGANGA FEKI, MKASA WAKE UNASHANGAZA, ALIPELEKA MIL 10, AKARUDIA TENA..
KATIKA hali ya kushangaza, mwalimu mmoja mkazi wa Mbeya, ameelezea jinsi alivyotapeliwa na watu waliojifanya kama waganga wa kienyeji ili wamsaidie kupata mafao yake..
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
@kalumbugideon41593 years agoMfuateni yesu kristo pekee anaweza. Shuleni tunaenda hila elimu ya namna ya kuishi inabaki kuwa ndogo sana. Vyeti havisaidii ndugu zangu. 3
@
@tamatithomas33603 years agoUkishajielekeza kwenye iman hivyo mzee hahha pole sanamiaka yako uliofanyia kaz.
@
@margarethpolepole74383 years agoHuna akili mjinga sana wewe mwalimu mzima. 2
@
@kiri58073 years agoMtihani kweli. Yaani watu wametanguliza shirki mbele ndio yanawakuta km haya. Pesa yote hiyo ina maana miaka yote umewafanyia wao kazi. Washenzi kweli nafikiri wanatumia mapepo kuwazuga watu ili wawaamini.
@
@rahimaaaaa86993 years agoKweli warudishe hakuna cha kesinmara ohoo ushahidi walete pesa.
@
@suleimansultan33333 years agoAsilimia kubwa hao wanao ibiwa huwa wana ahadi na waganga ya kupewa utajiri hao wote wapumbavu. 1
@
@user-cl2jr3re4s3 years agoMzee nae alikua anatamaa yapesa inaonekana ila pole mzee wang mana ulikua ukidamkia shulen skuzote mambo hayo uwez jua saiv kuna ya goodmoring bv wataalam. ...Expand
@
@peteryukunda92393 years agoWe2 mwl! Ucwaaibishe walimu, wapo madr, amp; wengine wengi, wamepata elimu kupitia baba yangu kipenzi. Baki & ujinga wako.
@
@user-cl2jr3re4s3 years agoMbwambo mzee kumbe mpare pole faza baada yaz ukitoka ofcn lzm ujue kuna wenye elim yamtaani wanakungoja utoke darasan wakupeelim yakwao pia pole wanakwambia. ...Expand
@
@maigajohn7023 years agoKwel elimu haina mwisho na mwl nae kaingizwa mjini.
@
@evamacha78963 years agoKwanini uendekeze ushirikina wote akili sawa. Km kuna kupata hela kwa njia hiyo kusingekua na sababu ya kufanya kz.
@
@williammbuzimai57443 years agoHiyo kesi mbona ndogo sana, huyu mwalimu atakuwa mwalimu hewa, sasa, sasa. watuhumiwa nipeni kesi hiyo niisimamie mie,
@
@samwelshija21123 years agoApo mwalim kapigwa aisee. Kisheria apo kec rahis sn iyo na jamaa wanaeza chomoka cz issue za imani serikal haiamin na haziwez kua proved at the court. Nway, we pray for mstaafu apate hela yake.
@
@janethkiswaga42043 years agoNina wasiwaasi na wanafunzi wako uliokuwa unawafundisha sijui huko waliko wanafanya nini. 2
@
@salmadhiab26933 years agoLakini jamani tuseme ukweli nahuyu mwalimu kilimpeleka nini naanajua kuna matapeli na yy nimkosa wacha yamkute unaambiwa ingeza bado unapeleka siujinga. ...Expand
@
@johnmasanja17623 years agoHahahaaa, watu mnaangamia kwa kukosa marifa.
@
@benedictmhina67413 years agoMzee mpuuzi kabisa na huyo mzee mtieni ndani kwa upuuzi wake anaongea pumbav.
@
@cmsa1r3 years agoJust imagine a teacher believing in witchcraft and he is trusted to educate your child. Jesus is the only answer. 1
@
@dorahy15793 years agoMbona mjinga na alikuwa mwalimu. Na siyo hata mzee. Miaka 54 tu anakuwa na akili ya maziwa lala!
@
@fidasjohn47003 years agoHuyo ni mwalimu wa wajinga sio mwalimu kama walimu ninavyo wajua mimi.
@
@user-cl2jr3re4s3 years agoMzee nae alikua anatamaa yapesa inaonekana ila pole mzee wang mana ulikua ukidamkia shulen skuzote mambo hayo uwez jua saiv kuna ya goodmoring bv wataalam. ...Expand
@
@user-cl2jr3re4s3 years agoMbwambo mzee kumbe mpare pole faza baada yaz ukitoka ofcn lzm ujue kuna wenye elim yamtaani wanakungoja utoke darasan wakupeelim yakwao pia pole wanakwambia. ...Expand
@
@salmadhiab26933 years agoLakini jamani tuseme ukweli nahuyu mwalimu kilimpeleka nini naanajua kuna matapeli na yy nimkosa wacha yamkute unaambiwa ingeza bado unapeleka siujinga. ...Expand
Related videos for MWALIMU KAPIGWA MIL 20 NA WAGANGA FEKI, MKASA WAKE UNASHANGAZA, ALIPELEKA MIL 10, AKARUDIA TENA..:
huyu mwalimu atakuwa mwalimu hewa,
sasa, sasa.
watuhumiwa nipeni kesi hiyo niisimamie mie,