Duration 5:44

UTAPENDA ZUCHU ALIVYOCHEZA SEBENE MBELE YA RAIS SAMIA

380 watched
0
11
Published 16 Jun 2021

Rasi Samia Suluhu alikua kwenye siku tatu za ziara yake ya kikazi katika mkoa wa Mwanza ambapo siku ya leo alipata nafasi ya kuzungumza na vijana wa jiji hilo la Mwanza. Msanii ZUCHU alikua ni miongoni mwa wasanii walipata nafasi ya kutoa burudani kwenye shughuli hiyo. #zuchu #samia #wcb

Category

Show more

Comments - 1