Duration 24:13

MOTIVATIONAL TOUR AT KIBELE SECONDARY SCHOOL

Published 8 Dec 2020

Kuelekea Mithani ya Kidato cha Nne 2020, Team ya GLF ilifunga safari mpaka Mkoa wa Kusini Unguja na Kutembelea mashule mbali mbali ya Mkoa huo kwa lengo la Kuwapa Hamasa na kuwapa moyo juu ya kukabiliana na mitihani yao ya Taifa.

Category

Show more

Comments - 1