Duration 23:35

TAREIKH YETU MSIMU WA KWANZA (SILSILA 7): Nyakati na Maisha ya Sayyid Barghash bin Said - Part 1

8 899 watched
0
74
Published 22 Jun 2020

Sayyid Barghash bin Said Al Busaid alikuwa sultani wa tatu wa Zanzibar na hadithi ya maisha yake kabla na baada ya kuwa sultani imejaa visa vya kusisimua. Ndiye alama ya kile kilichokuja kufahamika baadaye kama 'Mwamko wa Zanzibar' kwenye maendeleo ya uchumi, teknolojia na ustawi wa zama hizo.

Category

Show more

Comments - 12