Duration 6:14

KIJANA ALIYEACHA KAZI YA UCHIMBAJI KWA BILLIONEA LAIZER AGEUKIA NYIMBO ZA DINI,ASKOFU SHOO AMBARIKI

14 916 watched
0
134
Published 27 Sep 2020

Paul Siria ni kijana aliyeacha kufanya kazi ya uchimbaji wa madini kwa Bilionea wa Saniniu Laizer nakuamua kumtumikia Mungu kwa njia ya nyimbo ambapo ali-trend baada ya kumtungia bilionea huyo nyimbo alipopata madini ya Tanzanite yenye thamani ya shilingi Billion 7.8 ambayo aliyauza serikali.

Category

Show more

Comments - 25
  • @
    @ezekiamwainunu69324 years ago Nimekuwa wa kwanza kutazama nombeni like 100 tu. 10
  • @
    @godfreyjosephbakeri60934 years ago Kama umeipenda huo uamuzi wake gonga like twende sawa. 9
  • @
    @JK-uq1tv4 years ago Ahsante sana baba askofu kwa maneno yenye hekima na busara juu kumtumikia mungu kwa vipawa na karama alizo tupa. 1
  • @
    @browrinah93574 years ago Hongeleni sana jaman, na mungu awabariki.
    tuzidi kuipeleka kazi ya mungu mbele.
  • @
    @nass.pofficial40864 years ago Mziki mzuri unaskilizwa na kupewa saport bc na me naomba saport zenu kupitia nyimbo yng hi
  • @
    @bundukitv13224 years ago Hasira imekuwa ikiwaathiri wengi katika maisha yao ya kila siku kwenye jamii zao. Hapa nimeona nizungumze nawe kwa upole kabisa njia hizi 10 za kuweza kuepuka madhara yatokanayo na HASIRA / JAZBA. Tafadhali soma kisha share na mwenzako naye apate faida
    ..
    ...Expand
  • @
    @bjzee19814 years ago Mbona ni mwimbaji wa mda tu tangu alivyo muimbia magufuli.
  • @
    @royalsecuritysolutions56104 years ago Cctv camera tanzania
    imarisha ulinzi wa eneo lako kwa kufunga mifumo imara ya uangalizi wa cctv camera.
    unaweza kufunga nyumbani, of id="hidden3"isini, shule, hospitali, kiwanda, eneo la mradi na godauni.
    tuna camera zenye uwezo mkubwa wa kukupa picha angavu mchana na usiku. Camera zina uwezo mkubwa wa kutambua kila kitu ikiwemo ni pamoja na namba za magari kwa usahihi pamoja na sura ya mhusika.
    pia utakuwa na uwezo wa kuangalia camera zako ukiwa sehemu yoyote duniani kwa kutumia simu yako ya mkononi.
    tuna tumia bidhaa zinazoaminiwa duniani kote aina ya hikvision.
    karibu tkufanyie kazi bora na safi kwenye eneo lako.
    pia tunauza na kusambaza vifaa vyote vya mifumo ya cctv camera kwa bei nafuu kabisa
    0710201330
    . ...Expand
  • @
    @KUTOKA-ep2fk4 years ago Na nyie maaskofu haya marungu makubwa na haya makofia yameandikwa katika maandiko gani yenu?