Duration 3:8

USIOGOPE KUONEKANA UNAANZIA CHINI

3 699 watched
0
95
Published 30 Nov 2021

Kamwe katika maisha haya usiogope konekana unaanzia chini kwa kuhofia watu watasemaje au watakuonaje. Haya ni maisha yako unahitaji kuyapanga vizuri kuanzia chini kabisa huhitaji kuishi kwa kuwaaminisha watu kuwa wewe ni kitu ambacho sicho, itakusaidia zaidi wewe mwenyewe na wanaokuzunguka. Karibu darasani na usiache kuniandikia maoni yako tafadhali. . Kuona playlist ya video zote za furaha👇🏽 /playlist?list ... . Tuandikie kwenye comments nini umejifunza katika somo hili na kama kuna mifano inayoendana na somo hili tafadhali tushirikishe na sisi tujifunze toka kwako, each onr teach one! Karibu. . LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE - SHARE . SUBSCRIBE Kwenye channel zetu nyingine: HAMASA YA LEO👇🏽 /hamasayaleo . JE WAJUA?👇🏽 /channel/UCOfv3yx9Xbq5hqbrOIMrOBQ . VOICE-OVER CHANNEL👇🏽 /channel/UCdkOcHpLVsxSvgNYBBq7_Aw . TUWASILIANE ZAIDI HAPA: Kwa mahitaji ya kuweka tangazo lako kwenye channel hii. Kama unahitaji Voice-over (English & Swahili). Kujiunga na group la vitabu (Whatsapp & Telegram). Kuwasiliana na Ezden Jumanne kwa huduma zaidi. SIMU: (+255) 759 191 076 EMAIL: ezdenjumanne@gmail.com . . #Usiogope #Kuanzia #Chini

Category

Show more

Comments - 15