Fredoo Mbuji ni mtangazaji mwenza wa kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio ambapo kabla ya kujiunga na kituo hicho cha redio, alikuwa akitangaza Ebony FM ya Iringa. Anazungumza changamoto zinazowakabili watangazaji wa vipindi vya buruduni katika redio za mikoani