Duration 31:17

Baba Mtakatifu Yohane Paul II Akiwa Tanzania Sehemu ya Tatu

25 808 watched
0
107
Published 22 Jun 2021

Pope John Paul II Visit Tanzania, Historia ya Papa Yohane Paul ii, inaonyesha kuwa ndio Papa wa kwanza wa kanisa katoliki kutembelea Tanzania na alifanya misa mbalimbali. Video hizi zinaonyesha baadhi ya Misa za Papa Yohane Paul ii Tanzania, na maeneo aliyotembelea bila kusahau kazi mbalimbali alizofanya. Ziara ya Kihistoria ya Papa Yohane Paul wa Pili imeacha historia kubwa sana kwa Tanzania na Wanumin wengi walisikitishwa na kifo cha Papa Yohane Paulo ii.

Category

Show more

Comments - 16