Duration 4:16

Kwa nini rais Uhuru pamoja na mawaziri wake wamejiingiza kwenye siasa za urithi za mwaka wa 2022

110 561 watched
0
274
Published 27 Dec 2021

Unadhani ni kwa nini baadhi ya mawaziri katika serikali ya rais Uhuru Kenyatta wamejiiingiza kwenye siasa za urithi wa mwaka 2022? Ndilo swali vichwani mwa wachanganuzi wa maswala ya kisiasa kufuatia mgogoro unaoendelea kutotokota kati ya wafuasi wa naibu rais William Ruto na baadhi ya mawaziri serikalini wanaompigia kampeni kinara wa ODM Raila Odinga. Murimi Mwangi anapiga darubini safari ya mawaziri wa rais Kenyatta na kueleza kwa kina kwa nini huenda siasa zikaongezeka kwenye baraza la mawaziri hata zaidi mwaka ujao. #LiveStream #LiveNews #KTNNews #KTNPrime Kenya's number one 24/7 news channel. KTN News TV keeps you updated on the latest news in Kenya and around the World. KTN News Live stream - Nairobi, Kenya Watch Breaking and the latest news happening in Kenya, Africa and across the globe in real-time. Livestream KTN News SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: / Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews

Category

Show more

Comments - 104