Duration 5:8

TAZAMA ALICHOKISEMA DKT. ABBAS KUHUSU SIMBA NA YANGA KWENYE MWAKA MMOJA WA FILAMU YA ROYAL TOUR

162 watched
0
0
Published 28 Apr 2023

Dkt. Abbas amesema moja ya vitu vilivyo wavutia watazamaji wa filamu ya royal tour ni pamoja na kuhitaji kuwekeza katika sekta ya michezo ikiwa ni fursa baada ya filamu hiyo kuonyesha vivutio vilivyopo nchini Aidha amezitaja ligi za ulaya kuhitaji kuitangaza Tanzania katika ligi zao ikiwa nipamoja na ligi ya kikapu nchini malekani NBA

Category

Show more

Comments - 0