Duration 2:48

Polepole: Mwendo ni uleule mapambano ya Corona | | wote waliotumia mbinu za Magharibi waliaribikiwa'

7 310 watched
0
50
Published 16 Jun 2021

Mbunge wa Kuteuliwa, Humphrey Polepole akizungumza alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/2022, jijini Dodoma leo. Wabunge wanachangia mjadala huo kwa siku saba ambapo wanatarajiwa kuipigia kura ya kuipitisha Jumanne, Juni 22.

Category

Show more

Comments - 31